Friday, April 12, 2013

JAY Z AMEACHIA WIMBO MPYA “OPEN LETTER”


Mwanamuziki Jay Z ameachia Wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Open Letter,wimbo huo ni maalumu kwa wati wote waliokuwa wakim diss Star huyo baada ya kufanya ziara yake Nchini CUBA akiwa na mwanadada Beyonce.

Wimbo huo umetengenezwa kwa ushirikiano wa Maproducer wawili wakali kutoka Nchini Marekani ambae ni Swizz Beatz na Timbaland akifunguka Swizz jinsi walivyoweza kufanya kazi hiyo alisema wazo lilianza kwake pindi alipokuwa akitengeneza muziki katika Ofisi ya Jay Z hivyo alikuja Benyonce na baadae akatokea mtu mzima Jigga na hapo ndipo kazi hiyo ilipoanza.

Open Letter ni track inayowa diss watu wote waliokuwa wakisema maneno mbofumbofu kufuatia safari ya Mwanamuziki huyo na mkewe Benyonce kwenda Nchini Cuba






0 comments:

Post a Comment