Kufuatia sakata hilo kutokea watu wamekuwa wakimsumbua Mh zitto Kabwe ilikupata taarifa juu ya tukio hilo na kutaka kujua mustakabari wa tukio hilo na hivi ndivyo alivyoweza kusema zitto juu ya tukio hilo.
Tuesday, April 23, 2013
KAULI YA ZITTO KABWE BAADA YA MAMA YAKE MZAZI KUVAMIWA NA KUTISHIWA BASTOLA.
10:44 PM
No comments
Mbunge wa Kigoma
Kasikazini Zitto Kabwe leo hii ametoa kauri kufuatia kuvamiwa kwa
mama yake mzazi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi waliomtishia
Bastola na kumtaka Bi.shida awape baadhi ya vitu walivyoitaji kama
Laptop nk.
Kufuatia sakata hilo kutokea watu wamekuwa wakimsumbua Mh zitto Kabwe ilikupata taarifa juu ya tukio hilo na kutaka kujua mustakabari wa tukio hilo na hivi ndivyo alivyoweza kusema zitto juu ya tukio hilo.
Nimekuwa
naulizwa kuhusu Habari za mama yangu Mzazi Bi. Shida kuvamiwa na
kutishiwa bastola. Nawajibu watu Kwa ujumla kwamba
Hivyo suala lake
litashughulikiwa kama yanavyoshughulikiwa masuala mengine yote ya
Watanzania. Polisi wakimaliza uchunguzi wao naamini hatua mwafaka
zitachukuliwa.
Kufuatia sakata hilo kutokea watu wamekuwa wakimsumbua Mh zitto Kabwe ilikupata taarifa juu ya tukio hilo na kutaka kujua mustakabari wa tukio hilo na hivi ndivyo alivyoweza kusema zitto juu ya tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment