Stori
hii inaanzia hukooooooo mjini Kenya tunakutana na Mrembo ambae ni Video Queen mwenye muonekano Mzuri aliefanya Video Kibaoo na kwa
mujibu wa Taarifa zilizomfikia Mpita Njia ni kwamba Mrembo huyu Ndie
alieandikwa sanaa katika Mitandao ya Kijamii Nchini Kenya Kutokana na
muenekano wake na kazi yake hiyoooo ya kuuza nyago kwa Luningani.
Mrembo
anaswaga za hatari na umbo lake ndivyo vinavyowachanganya sanaa watu
pindi wanapomuona ni hari hiyo wasaniii wengi wamejikuta wakitaka
kufanya nae kazi kwa sababu wanajua akifanya kazi hiyo watu wengi
watafuatilia video hiyo kutokana na mvuto wa Video Queen huyo.
Inasemekana
kuwa kuna moja ya Video aliyofanya Mrembo huyu Nchini kenya alizuiwa
kupigwa katika kituo cha Luninga cha THE CITIZEN kwa sababu ya ukali
wa picha hasa zaidi za Mrembo huyuuuu.
Pata
furaha ya Macho ya kuangalia Picha zake hizi hapa MAANA MPITA NJIA
SINA TATIZO WALA HIYANA na mwanadashosti huyu.










0 comments:
Post a Comment