Tuesday, April 9, 2013

DIAMOND KAPATA SHAVU CDRC ONGO

Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnum AKA the President Himself wa watanashati amepata Shavu kufanya show Nchini DRC CONGO .


show itakayofanyika siku ya Tarehe 11 mwezi wa Tano Uvira  Congo Dumi Utamu,Mose Iyobo,Rama tonser na Emma Platnumz...



“Ntakuja kuwalewesha mpaka kesho kisha ntachagua wa
 kumpenda....!! Siku hiyo ntakinukisha mpaka
 niakikishe uvira yote inakuwa kama Bongo.....!!Alisema Diamond

0 comments:

Post a Comment