Tuesday, April 9, 2013

TAKUKURU YAIKOSA AZAM FC


Wachezaji wa AZAM FC waliokuwa wakituhumiwa kuhusika na vitendo vya rushwa hawajakuta na hatia baada ya uchunguzi uliofanya na TAKUKURU dhidi ya wachezaji hao wanee.

AZAM FC imetoa imeshukuru kwa wachezaji wake kutokutwa na hatia hizo za rushwa kwani kama ingekuwa na uhalisia kwa namna moja kikosi kingekuwa kimepunguzwa nguvu.

Kwa mujibu wa Nassor Idrissa katibu wa AZAM FC amesema kuwa

” TAKUKURU haijawakuta na hatia ya rushwa wachezaji;
DEOGRATIUS BONIVENTURE MUNISHI, ERASTO NYONI, SAID HUSSEIN MORAD NA AGREY MORRIS.”

Hivyo wachezaji hao wanakaribishwa rasmi kurudi kikosini AZAM FC kwa ajili ya kujiunga na mazoezi na wachezaji wenzao.


0 comments:

Post a Comment