BYC II
Imewasili leo jijini Dar es Salaam tayari kwa mchezo wake wa CAF Confederations
Cup dhidi ya Azam FC utakaochezwa Jumamosi tarehe 6/04/2013.... Viingilio
Mzunguko itakuwa Tsh.2,000 tu.
wakati VIP A itakuwa 20,000, VIP B&C itakuwa
10,000 na Orange itakuwa 5,000
Usikose kuhudhuria
0 comments:
Post a Comment