![]() |
| Dr Reginald Mengi |
Mwenyekiti
mtendaji wa makampuni ya IPP Dr Reginald Mengi amefunguka na kusema
kuwa ni aibu kubwa kwa Taifa lenye changamoto nyingi na Muhimu za
maendeleo watu kugombana na kupigania kuchinja wanyama.
Mwenyekiti
huyo ameandika hili leo hii katika ukurasa wake wa tittwer
“Hii
ni karne ya 21.Taifa lina changamoto nyingi na muhimu za maendeleo
lakini tunapigania kuchinja wanyama. Aibu tupu !! .”







0 comments:
Post a Comment