Watu Thelathini na Nane wakiwemo watoto kumi na moja wamefariki dunia Nchini India Mumbai baada ya jengo kuanguka likiwa linaendelea na ujenzi Jumanne jioni .watu 50 waliokolewa lakini wengine wanahofiwa kufunikwa na jengo hilo.
Jengo
hilo lenye ghorofa saba lilijengwa kwa magendo kwa miezi miwili na
vifaa visivyo imara jengo hilo lilikuwa likiendelea kujengwa katika
ghorofa ya Nane.
Sandeep
Malwi msemaji Manispaa yaThane amesema kuwa Jengo lilidondoka
alikupitishwa na Manispaa hiyo kujengwa vile vile imesemekana kuwa
ndani ya jengo hilo kulikuwa na kituo cha Tution kwa wanafunzi
lakini walikuwa wamekwisha ondoka wakati jengo hilo likianguka. 6.30
pm katika masaa ya India
sources:
ndtv







0 comments:
Post a Comment