![]() |
| MUSTAPHA HASANARI |
wakongwe wa fashion nchini watakuwepo katika tamasha la Usiku
wa fashion siku ya jumamosi ya tarehe 23 march.
Super Eight Entertainment watafanya tamasha la Fashion night maeneo ya Ilala katika ukumbi wa Ilala Amana Social Hall
Lengo
kubwa la tamasha ni kuwaonesha watanzania bidhaa mpya katika soko la fashion ya
Tanzania na kuwasaidia wabunifu na wanamitindo wachanga wanaoibukia katika fani
hiyo.
![]() |
| KIDOTI-JOKATE |
wageni waalikwa katika tamasha hilo ni
wakongwe wa fani ya fashion akiwemo Kidoti Fashion,Martini Kadinda,Khadja
Mwanamboka,Ally Rhemtula na Mustapha Hasanari.








0 comments:
Post a Comment