| KIDUKU HICHOOOOOO |
Siku
ya jumamosi ya 23 March Mwaka huu katika Ukumbi wa mbalamwezi Beach kutakuwa na michezo kwa
watoto wenye lengo la kuwajumsha watoto
kucheza,kula na kunywa kwa pamoja
kutakuwa na muziki na michezo tofauti tofauti kama jumping castle,Cartoon Mascots,Face
Painting,na burudani za kutosha.
Tuoneshe upendo kwa wanetu kwa kuungana na
watoto wa Malaika Orphanage foundation katika kupata falaja na upendo kutoka
kwa watoto wengine katika viwanja hivyo vya mbalamwezi Beach,michezo hiyo
itaanza muda wa saa nne asubuhi mpaka saa kumi za jioni
WATOTO
wananihitaji mimi,wanakuitaji wewe na yule tuoneshe upendo wetu kwa
kuwajumuisha pamoja wafurahi na kucheza.






0 comments:
Post a Comment