Msanii
wa bongo fleva shettah alietamba na ngoma kibao kama mdananda,bonge la bwana na
zingine leo hii amethibitisha kuwa wimbo
wake wa BONGE LA BWANA ulibuma kwa kutofanya poa katika tasnia ya bongo fleva
baada ya kuachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la SINA IMANI ambayo
imekuwa iko poa na kuonesha kufanyavizuri zaidi siku za mbeleni.
Ndani
ya truck hiyo iliyofanywa na mensen-selector ndani ya production za difatarity
na kuleta radha zaidi kwa msikilizaji
Ndani
ya Sina imani ameshirikiswa RICH MAVOKO na kutia voko zake katika track hiyo na
kuipa uwezo wa hali ya juu track hiyo.
kwa sikio langu la muziki naona track hii itamludisha
shettah katika level zake zile za mwanzo kwani hapo kati kidogo hakufanya poa
na track yake ya bonge la bwana. BIG UP SHETAH







0 comments:
Post a Comment