![]() |
| LINEX |
Msanii
wa bongo fleva linex alietamba na nyimbo kama mama halima,aifola, na nyingine
kibao siku ya jumapili ya mwezi huu hapa tarehe 24 atazindua album yake ya
kwanza kabsa inayokwenda kwa jina la mahakama ya mapenzi.
Uzinduzi
wa mahakama ya mapenzi utafanyika katika ukumbi wa maisha Club na jaji mkuu wa
mahakama hiyo atasindikizwa na wasanii kama Banana Zahir Zoro,Peter
Msechu,H-Baba pamoja na Stara Thomas .
Kama
unakesi ya mapenzi nenda na mpenzio maisha club day hiyo ili ikatatuliwe kama
si kumalizwa kabsaa.







0 comments:
Post a Comment