wasanii wa bongo fleva kutokea jiji la dar es salaam kitale
rais wa mateja,kara jeremiah na mwanadada dyana usiku leo watafanya bonge la
show katika ukumbi wa social club katika mkesha wa pasaka utakaofanyika katika
mji wa kahama.
akitiririka na mpita njia kara amesema kuwan leo tunafanya
tukio la kihistoria,bonge la show litakalofanyika usiku wa leo ndani ya ukumbi
wa social club katika mkesha wa pasaka njoo wewe na yule umpendae kiingilio ni
tsh 5000tu
vilevile amedai kuwa ile album yake YA PASAKA itakuwa ikipatikana
mlangoni kwa dhamani ya buku tano tuu.







0 comments:
Post a Comment