Jengo lililokua bado linaendelea kujengwa katika makutano ya
barabara ya Indra Gadhi na morogoro lenye ghorofa zaidi ya 10
Limeporomoka na kuuwa
watu zaidi ya watano na kujeruhi wengine wengi waliokuwepo katika eneo la tukio
vilevile jengo hilo limeangukia msikiti ambao unasadikiwa kuwa na madrassa ambayo
ilikuwa na wanafunzi ndani wakati tukio
likitokea.
Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa zaidi ya watu 60 walikuwa
wamefunikwa na jengo hilo hata hivyo jitihada za kuwaokoa zilikua zikiendelea
ila mbali na kuwajeruhi watu na kusababisha vifo jengo hilo limehalibu mali za
watu yakiwamo magari kadhaa yenye dhamani tofauti tofauti na mali zingione
zilizokuwa karibu na eneo la tukio.
Mungu azilaze pema roho za marehemu wote.AMINAA






0 comments:
Post a Comment