Friday, March 29, 2013

ZITTO KABWE AWAOMBA WATANZANIA


Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe amewataka watanzania waliopo eneo la tukio katika  jengo lililodondoka kuelekeza nguvu zao katika kuokoa kwanza kwa watu waliofukiwa na kifusi cha udongo wa jengo hilo.


0 comments:

Post a Comment