Mwadada Sinta aliekuwa akitamba sana katika Tasnia ya muvi
Bongo enzi hizooo na kupata jina kubwa hapa mjini na sehemu mbalimbalki za nchi
yetu amefungukiwa na Binti Rayuu Bangenzi kuwa anafanya Biashara ya mali zake
Asili alizotunukiwa bila malipo yoyote yale.
Rayuu amefunguka hayo katika ukurasa wake wa Facebook na
kuandika kitu hiviiiii nami bila iyana yoyote nina tililika na stori hii kama
ifuatavyo
“kujibishana na nani vile anaitwa ..... gyz nisaidieni
aliimbwa sn na nature cz alichoka nakujiuza kwake:nani anaitwa jamani cz me
niliwahi mona mara1 masenze akiwa bsy kusimamisha magari;ss cjui alikuwa
anafanya nn!ali maarufu kama bibi kizee anaye tafuta umaarufu kupitia migongo
ya wenzie!ss sikia kizee dida anakutafuta na akikupata ......???”
Bidada huyo aliendelea kutililika bila woga na kuonesha hisia
zake za ndani juu ya mambo hayo kama ifuatavyo
”ndo utajua kuwa ww ni kibibi umri umepita!!wateja wako
wanasema.acha kuvaa matako ya bandia!!(kubishana na ww ni sawa nakubishana na
bibi yangu!!)na koma kusema mm rafiki yako!!”






0 comments:
Post a Comment