Tuesday, March 19, 2013

BREAKING NEWS:AJARI YA BASI

Watu 6 wamefariki duniania na wengine 30 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la Marquis iliyotokea katika eneo la Nyamungolo Igoma.Basi hilo lililokuwa likitokea Musoma kwenda Mwanza.

MUNGU WAREHEMU NA KUWANUSURU MAJERUHI

0 comments:

Post a Comment