MKALI
wa muziki Afrika Mashariki na Kati, Juliana Kanyomozi wa Uganda, jana
amekanusha tetezi zilizozagaa kuwa anatoka kimapenzi na jaji mwenzake
wa shindano la Tusker Project Fame Jaji IAN na kuwa eti wanampango wa
kufunga ndoa siku za karibubuni.
Kwa
mujibu ya Juliana amekanusha shutuma hizo na tetesi hizo kuwa hazina
ukweli wowote ule kama ambavyo anaeleze Juliana.
“nimeona
taarifa zinazo ni sumbua akili na mawazo ,nasema sina mpango wowote
wa ndoa na jaji IAN na sijawahi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi
na yeye na sina lengo la kufanya hivyo,Ian ni mtu ninaefanya nae kazi
katika shindano la TPF basi,ninamuheshimu kama ninavyo waheshimu watu
wengine.kama jaji mwenzangu vilevile namuheshimu kama ni mtu mwenye
Familia yake,hivyo huu ni uzushi tena sio fair kabsaaaa'”
Juliana
amefunguka haya baada ya mitandao ya kijamii kuandika habari kuwa
jaji Ian ayupo teyari kuona anampoteza Juliana na kusema hizo taarifa
zimetolewa na rafiki wa karibu wa jaji huyo.








0 comments:
Post a Comment