Thursday, May 16, 2013

JOSE CHAMELEONE AWAPONGEZA RADIONA WEASEL




Jose Chameleone ametoa pongezi ya aina yake kwa wanamuziki waliokuwa wakimfanyia back up za Voko kipindi cha nyuma ,Moze Radio na Weasel walioteuliwa kushiriki katika Tuzo za BET.

Chameleone alitumia ukurasa wake wa Facebook kuwapa shavu wawili hao wanaounda kundi la Goodlyfe Crew alisema mafanikio ya mtoto ni falaja ya baba,kwa maneno hayo naungana na wanamuziki wenzangu kuwapongeza Radio$Weasel kwa kuchaguliwa kushiriki tuzo za BET....Mlijifunza kutoka kwa mtu bora na mlijifunza vizuri alisema Chameleone.

Kundi la Goodlfye limekuwa likifanya kazi zake kwa mwaka wa tano sasa toka walipojitoa kwa JoSE Chameleone's Leone Island Music Empire na kuunda kundi lao wenyewe linalokwenda kwa jina la Goodlyfe

hatuna uhakika kama Bebe Cool atawapongeza vijana hao,lakini Bobi Wine yeye amefanya hivyo kwa hilo vijana hawawezi kuficha furaha ya mafanikio yao.



0 comments:

Post a Comment