GARI lamafuta la kampuni ya Lake oil limeanguka mkoani mbeya katika mlima
nyoka na kusababisha watu kugombea mafuta yaliyomwagika bila kuogopa
madhara ambayo yanaweza sababishwa na vitendo hivyo.
angalia picha hizo uone namna watanzania wasivyo wasikivu na wasivyojali maisha yao.















0 comments:
Post a Comment