Kama
ambavyo track hiyo iliyojaa majigambo katika pande zote mbili kati ya
Hip Hop na Rnb siku hiyo wanataka kuona kuwa ni upande upi utafanya
poa zaidi jukwaani na kuwadatisha mashabiki,kwani kwa upande wa
Diamond ana Hits kibao na upande wa Ney ana Ngoma kali kibao hivyo
najiuliza nani atakaa siku hiyo.
Kwa
mujibu wa Diamond anatarajia kuupeleka baadaye uzinduzi huo mikoa ya
Morogoro, Dodoma, Mwanza na baadaye Arusha akiungana na Mratibu wa
onyesho hilo la uzinduzi wa ngoma hiyo.
Kwa
mtazamo wako nani atafanya poa zaidi ya mwenzake usiku wa ijuuma pale
Mbagala FuNGUKA tUANZE kUpaTA UkWeLi KaBlA yA sHoW.






0 comments:
Post a Comment