Hotuba
ya kambi ya Upinzani kutoka kwa waziri kivuli wa Habari, vijana
utamaduni na michezo Mh Joseph Mbilinyi maarufu kama Mr 2
imesababisha Spika wa bunge Anna Makinda kuahirisha bunge hilo mpaka
saa kumi na moja jioni akisema kuwa Hotuba hiyo wa kambi ya upinzani
iliyokuwa imeeanza kusomwa kuwa ilikuwa na maneno ya uchochezi .
Spika
wa bunge ameairisha bunge hilo mpaka jioni huku akitaka hotuba hiyo
ipitiwe kwanza kamati
ya kanuni ikakae na kuangalia upya Taarifa ya Ndg. Joseph Mbilinyi.
Baada
ya Bunge kuarishwa baadhi ya watu wanajiuliza imekuaje hotuba ianze
kusomwa pasipo kupitiwa kabla na kama waligundua kuwa kuna maneno ya
uchochezi ilikuwaje wakampa nafasi mbunge huyo kuanza kufanya
presentantion.
HAYA
NI MASWALI YA BAADHI YA WADAU
Jerry
Silaa (@JerrySilaa):
Hivi hutuba inaingiaje Bungeni bila kupitiwa? Wenye ufahamu wanihabarishe maana mimi nashangaa tu.
Hivi hutuba inaingiaje Bungeni bila kupitiwa? Wenye ufahamu wanihabarishe maana mimi nashangaa tu.
Kwani
hizo hotuba si huwa zinatolewa copy kwa kila mbunge kabla
hazijasomwa.. huo uchochezi kwa nini wasiuseme mapema kabla hajaanza?
Aisee
huku kimenuka...!sugu anasumbua watu....!!!page ya kwanza tu...!bado
page za mafisadi wa muziki...!yaani leo nawaambieni kaeni kwenye tv
zenu mskie balaa!!magenge mjengoni..!sugu amefanya bunge liailishwe
mpaka mchana!
Baada
ya Bunge kuahirishwa baadae ndio itajulikana ukweli haupendwi#umakin








0 comments:
Post a Comment