Monday, May 20, 2013

SUGU+LADY JAYDEE=MOTO


Mbuge wa tiketi ya Chadema kutoka katika jimbo la mbeya ambae ni waziri kivuli wa wazira ya Habari ,Vijana utamaduni na mchezo Mr 2 ambae muda uliopita alikuwa ameanza kuwasilisha hotuba ya kambi ya upinzani bungeni na kusababisha bunge kusitishwa ghafla mpaka jioni pindi kamati ya maadili ilitapopitia hotuba hiyo.

Lakini dhahili kunaonekana muunganiko mkubwa katika kupigana vita kushinda vita dhidi ya watu wachache wanaohujumu sanaa ya muziki na wanamuziki kiujumla kufuatia muunganiko uliopo kati ya Joseph Mbilinyi ambae mwanzo alikuwa na project iliokwenda kwa jina la ANTIVIUS iliyokuwa na lengo la kupigania haki ya wasanii wabongo wanaohujumiwa na baadhi ya watu wachache.

Hivi karibuni mwanadada Lady jaydee nae ameanzisha harakati hizo za kupinga na kuwafichua watu wachache wanaotumia pesa zao na mali zao kuakikisha wanawapoteza wasanii na kuwanyonya watakavyo.

Lakini hili liko wazi kabisa kuwa ANTIVIRUS na Team ANNACONDA wameunganisha nguvu kwa pamoja katika viti dhidi ya mafisadi wa muziki kwani hata leo bungeni wageni walioalikwa na mh Joseph mbilinyi wengi wao ni Vinega na Team annaconda akiwepo Lady jaydee,profesa Jay,Ramadee,Mkoloni nk

baada ya kikao cha bunge kuahilishwa Lady jaydee na sugu walipiga picha ya pamoja na mwanadada huyo aliandika kuwa muunga wa sugu na yeye kuwa ni moto

JIDE+SUGU=fire


0 comments:

Post a Comment