Wasaanii
wapiganuia haki ya muziki waliokuwa wakitoa dukuduku lao juu wa
unyanyasaji,uonevu na unyonywaji wa kazi yao leo wanaingia bungeni
katika bunge la bajeti ambapo leo Wizara ya Habari,Vijana utamaduni
na michezo itawasirisha bajeti yake.
Wanamuziki
walioingia bungeni leo ni Lady Jaydee.Profesa Jay,Ramadee,Mkoloni na
wengine na hii ni kauli ya Profesa Jah wakati ndio wanainguia
bungeni
Punde
tunaingia ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,fuatilia
Bunge tafadhali!.........NYAKATI!







0 comments:
Post a Comment