kuimarisha upendo wao kwa kusikiliza nyimbo mbalimbali ambazo zinaujumbe na kuburudisha kutokana na ukali wa nyimbo hizo.
Dj D Ommy ameachia Non stop mix yenye dakika 50 na sekunde 50 aliyoipa jina la ‘The Valentine’s Heart Felt Mixx’ ikiwa na nyimbo za zamani za Tanzania na nje ya nchi zenye jumbe za mapenzi zilizochanganywa kwa weledi wa hali ya juu.
Huu ni mfululizo wa mixing kali za mchezea santuri huyu ikizifuatia zile za awali 'The Return Of The Transform Master Vol' 1, na 'Afro Pop Cutz'.
0 comments:
Post a Comment