Katika
kesi iliyokuwa inamkabili Mwanadada Wema Sepetu ambaye anafahamika
kwa jina la Beutifuly Onyeye baada ya Kumpiga na kumtukana Meneja wa
Hotel
ya Mediterinian ambaye alifahamika kwa jina la Godlucky Kayombo
imetolewa Hukumu na Staa huyo kutakiwa kwenda Jela Miezi Mitatu au
kulipa Faini ya shilingi laki moja kwa maana ya elfu hamsini kwa kila
kosa baada ya kukutwa na hatia ya kutenda makosa hayo mawili ya
kupiga na kutukana.
Lakini
Mwanadada Wema aliweza kulipa Faini ya Laki moja na kuwa Huru na
maisha yake ya kila siku.






0 comments:
Post a Comment