Thursday, December 5, 2013

YANGA YANAWA MIKONO KUMSAJIRI EMMANUEL OKWII

Klabu ya Yanga ambayo makazi yake Jangwani imeweka wazi kuwa kwa sasa mpango wake wa kutaka kumsajili Mshabuliaji Emmanuel Okwii umekua ni historia
kutokana na Matatizo ya Mshambuliaji huyo na Klabu yake ya Zamani Simba Sport Club.

Abdallah Bin Kleb ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili alifunguka na kusema kuwa kwa sasa Klabu yake ni vigumu kumsajili Okwi kwa sababu ya sakata lake na klabu yake

“Huyo mchezaji Emmanuel Okwi kwa kweli ile hata kurudi kucheza Uganda (SC Villa) ilikuwa bahati sana, sakata lake ni zito sana, lazima kwanza Simba walipwe fedha zao (dola za Kimarekani 300,000 ambazo ni zaidi ya Sh. milioni 480 Tanzania,” .

0 comments:

Post a Comment