Kocha wa Yanga,
Mholanzi Ernie Brandts ameweka wazi nia yake ya kutaka kupunguza
Wachezaji watano katika Kikosi chake kwa lengo la kupunguza
gharama
za uendeshaji katika Klabu.Ingawa moja kwa moja
Kocha huyo hakutaja kwa majina vijana ambao wanaweza kupunguzwa
katika Kikosi hicho lakini ,kutokana na uzoefu na uchambuzi wa baadhi
ya wanasoka wanauhakika kabisaa kuwa Vijana hawa ndio watakaopunguzwa
katika Kikosi cha yanga
wachezaji hao ni; Hussein Javu ,Shaban Kondo,Ibrahim Job na Said
Bahanuzi.
0 comments:
Post a Comment