Kwa jina anaitwa Ryan
Joseph Giggs alizaliwa Miaka Arobaini iliyopita Tarehe 29
Mwezi wa kumi na moja katika Mwaka1973 ndipo mchezaji huyu wa
Manchester United alizaliwa ambapo leo katika Tarehe ile
ile ameweza kutimiza Miaka 40 toka amezaliwa.
Mpaka sasa Mchezaji
huyu amecheza Misimu 24 na kadili miaka yake inavyozidi kwenda ndipo
anazidi kuwa imara katika kazi yake ya Soka.
Happy Birthday Giggs
0 comments:
Post a Comment