Msanii
wa Filamu na Bongo Flava Shilole ambaye anafahamika zaidi kama
Shilole Kiuno leo kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV katika segment
ya KIKAANGONI
LIVE msanii huyo ameeleza sababu kubwa inayomfanya
kufanya kufuru awapo stejini kwa kuvaa nusu Uchi na kufanya majonjo
stejini kiasi cha kuwadatisha Mashabiki.
“Muziki
ni furaha hivyo napenda kufanya Jambo au Kitu mashabiki wangu waweze
kufurahi na si Kingine”
Kutokana
na Majonjo ya Shilole na namna anavyofanya Stejini watu wengi
wanaonesha kutopenda na kudai kuwa yeye kama Kioo cha Jamii hapaswii
kufanya hivyo kwani kufanya hivyo ni sawa na kuwashawishi watu
wengine kuiga hicho akifanyacho ambacho kinakwenda kinyume na maadili
ya Kitanzania.
0 comments:
Post a Comment