Wednesday, November 27, 2013

MKE WA MTU APIGWA PICHA ZA UTUPU NA KUSAMBAZWA MITANDAONI KISA ULEVII.

Mwanamke mmoja ambaye Jina lake halikujulikana mara moja amefanyiwa
kitendo cha Kishenzi kutokana na Ushenzi wake wa kusaliti ndoa na kupiga mitungi pasipo kuwa na kipimo.

Kwa mujibu Tovuti ya Sukari guru ambao ndio wameziweka Picha hizo wamedai kuwa Mwanamke huyo alizidiwa kwa Pombe kiasi cha kushindwa kufanya maamuzi na kujikuta amefanya m,aamuzi ambayo mwisho wa siku yamemgharimu kwa kuvunjiwa HESHIMA na muhusika ambaye alifanya naye tukio hilo.

NOTE:MpitaNjia inazidi kutoa rai kwa kina dada kuwa makini sana na watu ambao wanahisi ni watu wema kwao kwani imekuwa ni kama Style kwa sasa kuvujisha Picha ambazo mwisho wa siku zinavunja Heshima na kukuchafulia hii ni kama angalizo kwako kuwa makini katika Mchezo huu unaoendelea Hapa Town.

BOFYA HAPA KUTIZAMA PICHA HIZOO.

0 comments:

Post a Comment