Rais
wa Masharobaro Bob Junior ambaye siku za karibuni ameachia Wimbo wake
mpya aliomshirikisha Msanii Vanesa Mdee ameonesha kuumizwa na kulizwa
na
kitendo cha magazeti ya Udaku kuandika Stori kuwa amemuacha Mkewe
ili Kutamba na Penzi jipya la Msanii Mwenzake Vanesa Mdee.
President
of Sharobaros ameandika ujumbe ambao ulisomeka hivi
“hichi
ndicho walitaka kusema haya msha sema kingine kipi????
Lakini chanzo
cha Produza huyo kuandika ujumbe huu ni kutokana na moja ya gazeti
Pendwa kutoka na Habari kati8ka ukurasa wa kwanza aliyokuwa ikisomeka
hiviiiii
0 comments:
Post a Comment