![]() |
| KATIKA PICHA HII ILIYOPIGWA MIAKAA KADHAA ILIYOPITA KUSHOTO PROF JAY KATIKAKATI lADYJAY DEE NA MWISHO KULIA NI MAC DIZOO. |
Maisha
ni Historia na mafanikio siku zote hayaji kwa njia nyepesi kama
ambavyo wengi wetu tunafikiri au kudhania kwangu mimi maisha na
mafanikio naona ni vitu
viwili vilivyotofauti lakini cha ajabu
vinategemeana sana.
Kuna
vijana wengi sasa wanataka kujilinganisha na Kaka Zao au wanataka
kushindana na dada zao ingawa haikatazwi kushindana na inawezekana
ukajiona umefanikiwa sana kwa Tafsiri yako ya Maisha ingawa kuna watu
bado wanakuona unasubiri sanha kuwafikia hao watu kutokana na tasfiri
yao ya Neno Maisha na Mafinikio katika Maisha.
| LADYJAYDEE NA PROF JAY |
Jaribu
kujiuliza Mafanikio aliyonayo Mtu kama Prof Jay,Ay,FA ,Lady Jaydee
Jumanuture,Diamond Platnum,Salama Jabir.Juma Kaseja,Fid Q,na watu
wengine wengi kuwataja kwa majina halafu jiulize kitu kimoja
Wamewekeza Miaka Mingapi kufika hapo walipo?
Uvumilivu+
Kujituma+Nidhamu=Mafanikio Lakini mafanikio mazuri zaidi ni pale
unapowekeza nguvu binafsi na kushirikiana vizuri na wenzako na kuwa
kitu kimoja.
![]() |
| AY AKIWA NA SWAHIBA YAKE FA MIAKAA KADHAA ILIYOPITA |
Picha
hizi zimepigwa na watu tofauti katika miaka tofauti lakini
zilihusisha sura zilezile kwa miaka hiyo na hicho ndicho kilichofanya
watu hawa kuweza fanikiwa katika kazi zao na kupata Matokeo makubwa
ya Kazi zao.
Usiigee
Matumizi Iga kazi na ifanye kazi zaidi yake Utatoka tu kwa namna moja au nyigine hawa watu wanapatana na kuendana na ndio maana miaka inapita bado wapo pamoja na wanazidi kufanya kwa kushirikiana kimawazo hata utendaji,ndio maana anachofanya mwingine mwenzake anaona moja kwa moja na yeye kinamuhusu,hivyo hawana usaliti wa kijinga kijinga au kukosa misimamo katika kile wakifanyacho.
![]() | ||||
| AY NA SWAHIBA YAKE HIVI KARIBUNI |
KATIKA KULIONA HILI SIJAZUNGUZIA MAFANIKIO YA KUNENEPA HAPA ILA KAMA MFUATILIAJI MZURI WA KIWANDA CHETU CHA MUZIKI NA KUJUWA HISTORIA YA MUZIKI WA BONGO UTAKUWA UNAJUWA NINI NAKIMAANISHA HAPA.









0 comments:
Post a Comment