Msanii
Peter Msechu ameingia Bifu na Mkali Ney wa Mitego baada ya Msechu
kumponda Ney wa Mitego kutokana na Wimbo wake mpya Unaokwenda kwa
jina
la Nakula Ujana ambao umefanywa chini ya Maproduza wawili Marko
chali na Mr T Touch.
Kwa
Mujibu wa Peter Msechu amemchana Mkali huyo wa Hip Hop na kumwambia
kuwa muda si mrefu ataimba mpaka Mduara kutokana na kuikacha Hip Hop
hivyo alizidi kudai kuwa akiendelea Mwisho wa siku atakuwa Hata
Mnenguaji wake katika Band yake.
Hapo
Ndipo likazuka Zogo la kutoleana maneno kama Uonavyo wewe hapa Chini.








0 comments:
Post a Comment