Mkali
Peter na Mwenzake Paul ambao kwa pamoja wanaunda kundi la P Square
kutoka pande za Nigeria wanatarajia kutua Leo Tanzania huku wakiwa
wameambatana na Band yao kwa ajiri ya Show itakayofanyika Siku ya
Jumosi Viwanja vya Leaders Club.
Wakali
hao ambayo wanategemea kudodosha Show Ya Kibaba takribani kwa masaa
Mawili mfululizo kwa kushusha Hits Song watasindikizwa na wasaniii
Wanne kutoka Tanzania ambao ni Prof JAY,Lady Jaydee,Ben Paul Pamoja
na Mwamba wa Kaskazini Joh Makini Mweusi.







0 comments:
Post a Comment