4:23 AM
Wakali
ambao waliweza kufanya poa katika Tasnia ya Bongo Fleva Namzungumzia
Juma Nature pamoja na Mike Tee wamerudi Studio na kuivisha
Ngoma
Nyingine mpya itakayo kwenda kwa jina la Ulioniona sina Maana.
Kwa mujibu wa Mike Tee
amedai Ngoma hiyo itaachiwa Tarehe 1 kama ambavyo alitoa ahadi ya
kutoa Ngoma kila mwezi.
“Juma
Nature na Mike Tee tumerudi tena studio kutengeneza hit singo
nyingine itakayotoka tarehe moja kama nilivyotoa ahadi itaitwa
"Uliniona Sina Maana"
0 comments:
Post a Comment