Kukatiza Maisha ya Nyota huyo wa Filamu na Muziki amliyekuwa ameanza kupata Mafanikio kutokana na kazi yake ya Sanaa.
Sharomilionea alifariki dunia mishale ya saa 3:00 usiku Mwaka jana baada ya gari alilokuwa akiliendesha aina ya Toyota Harrier kupata ajali mbaya iliyomuua papo hapo wakati akikaribia kijijini kwao Lusanga ili kwenda kuwajulia hali wazazi wake.
Katika
kukumbuka na kumuombea Msanii Roma Mkatoliki ambaye ni anaiwakilisha
Tanga ameweza kusema maneno machache kwa ajiri ya kukumbuka Marehemu
Sharomilionea na kumuombea apumzike Salama.
“Ni
mwaka 1 leo umetimia toka uondoke duniani Mgosi (wakwetu)! Alitufanya
tucheke/tuwe na furaha so tusimsahau kirahisi R.IP. SHAROMILIONEA”
0 comments:
Post a Comment