nao kumuacha,BIbi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa na RAIA.
Saturday, November 2, 2013
BIBI ADONDOKA KICHAWI KINYEREZI LEO BAADA YA WENZAKE KUMUACHA CHEKI PICHA ZAKE HAPA.
3:28 AM
No comments
Bibi mmoja ambaye jina
lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya
Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa
nao kumuacha,BIbi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa na RAIA.
nao kumuacha,BIbi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa na RAIA.

0 comments:
Post a Comment