Ali
Kiba 4 Real Mkali ambaye ameanza kufanya poa sana katika Muziki wa
Bongo ambaye anatamba na Ngoma kali Leo amepambanishwa na Mkali
Diamond
Platnum ambaye anatamba kwa sasa na Ngoma yake ya My Number 1
na kutamba kwa sana kwenye mitandao ya kijamiii kwa stori mbalimbali
na matukio yanayomfanya azidi kuzungumziwa mara mara midomoni mwa
watu na jina lake kubaki katika Kumbukumbu za watu wengi.
Ingawa
Alli Kiba amekuwa kimya sana katika Game kwa muda mrefu na kutopata
Promo kubwa anayoipata Diamond Platnum lakini katika Ali Kiba
amemgalagaza Platnum kwa kuwa na mashabiki wengi wanaomkubali na
kukubali kile ambacho anakifanya.
East
Africa Radio kupitia kupitia Ukurasa wake wa Facebook waliweka Swali
>Yupi mkali wa sauti na kutunga mashairi kati ya Ali Kiba na
Diamond?Ali Kiba V/S Diamond .
Hizi
ni baadhi ya Post za wachangiaji wa Mada hiyo.
ENDELEA KUFUATILIA WACHANGIAJI WENGINE WAMESEMA NINI HAPA









0 comments:
Post a Comment