Afande
Selle King ambaye amepiga kambi Mjini Morogoro huku akifanya shughuli
za muziki na mambo mengine amefunguka kupitia Ukurasa wa Facebook wa
East
Africa Radio na kudai kuwa Pesa alizopewa na Mh Mbunge wa Kigoma
Zitto Kabwe Dollar 1000 amezitumia kufanyia Video ya Wimbo wake huo
mpya ambao utatoka siku si Nyingi.
Mkali
huyo aliendelea kufunguka kuwa Pesa hiyo aliitumia kutengeneza Video
lakini pesa nyingine aliitumia katika mambo yake mengine ya msingi.
“Kitu
mhmu kwa mtu muelewa ni kusubiri video itoke ktk ubora wake kwa kuwa
mchango wa zito ni mhmu sana lkn pia kwa kuwa mzk ni kaz yangu/maisha
yangu vd ni sehem ya wajibu wangu hata nisingepata mchango wa mh zzk
kwa kuwa ktk maisha yangu ya mzk nina vd nyingi tu na huo ni
utaratibu wa kawaida ktk mzk na kiukweli zito kachangia dola 1000 lkn
garama halis za vd yangu zimezid hapo na hilo lipo ndani ya uwezo
wangu.







0 comments:
Post a Comment