Usiku ulikuwa wa Haki na Huru hivyo Rais wa Shirikisho la Miguu Jamal ameshinda kwa haki na usawa bila zengwe.
Nyamlani ambaye alikuwa makamu wa Raisi wa shirikisho hilo alifunguka jana kuwa amekubali alishindwa kihalali kabisaa katika mtanange huo.
"Nimekubali kushindwa, na nampongeza Malinzi kwa kushinda kwani uchaguzi ulikuwa huru na wa haki. Kilichotokea ni matakwa ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF ambao ndiyo wapiga kura," alifunguka Nyamlani.
Mbali na kukubali kushindwa kwakwe lakini aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Raisi alisema kuwa yupo teyari kufanya kazi na uongozi mpya uliopo chini ya Rais wa Shirikisho hilo Jamal Malinzi.






0 comments:
Post a Comment