Produza
anaefanya vizuri katika Tasnia ya muziki wa Bongo fleva ambaye kwa
sasa ametengeneza HITS kama My Number ya Diamond na zingine kibao
amefunguka na kusema kuwa kabla ya yeye kutoka alidharaulika sanaa na
kukatishwa tamaaa na watu mbalimbali katika kazi aifanyayo.
“Mwenyezi
Mungu wewe ndio kimbilio langu kwani nimetoka mbali saana vikwazo
vingi katika maisha lakini umenipigania mpaka kufika hapa.”
“nimekatishwa
tamaa,nilitukanwa,nilinyanyaswa,nilidharaulika sikuthaminika lkn kwa
nguvu zako Mungu nimeshinda vikwazo bado nahitaji msaada wako ili
niweze kutimiza ndoto zangu kwani wewe ndio unaweza kubadiri maisha
yangu nasio binadamu hapa duniani Asante Mwenyezi Mungu!!!!! “







0 comments:
Post a Comment