4:48 AM
Leo
kikosi cha Yanga kitakuwa kibaruani dhidi ya Timu ya Rhino Rangers
katika moja ya mchezo wa Ligi kuu Vodacom inayoendelea leo katika
Viwanja tofauti
tofauti.
Kikosi cha Yanga
kimetangaza wachezaji ambao wataanza kucheza katika mechi hiyo kama
ifuatavyo.
1.Deogratius
Munishi 'Dida' - 30
2.Juma Abdul - 12
3.David Luhende -
3
4.Mbuyu Twite - 6
5.Kelvin Yondani - 5
6.Rajab Zahir -
14
7.Saimon Msuva - 27
8.Frank Domayo - 18
9.Hamis Kiiza -
20
10.Mrisho Ngassa - 17
11.Haruna Niyonzima -
8
Subs:
1.Yusuph Abdul - 19
2.Oscar Joshua - 4
3.Athuman
Idd 'Chuji' - 24
4.Nizar Khalfani - 16
5.Reliants Lusajo -
9
6.Jerson Tegete - 10
7.Didier Kavumbagu - 7
0 comments:
Post a Comment