Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete Jana akiwa mkoani Iringa katika maadhimisho ya miaka14 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa
Julius Kambarage Nyerere aliwataka watanzania waangalie kati ya siku ya kuzaliwa na siku ya kifo cha Baba wa Taifa ipi iwe siku ya Baba wa Taifa.
Kwa mapendekezo ya Jakaya yeye alipendekeza siku ya kuzaliwa kuwa ndiyo ingeazimishwa kama siku ya Baba wa TAIFA KITAIFA.
TOA MAONI YAKO KATIKA HILI.







0 comments:
Post a Comment