Katika kumbukumbu
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dr Reginald Mengi amewahi kutoa kauli
kuwa katika mambo makubwa yanayosababisha wizi
mkubwa wa Pesa na
Rushwa katika Sekta mbalimbali ni kama haya.
1.Mikataba Mibovu
2.Mikataba ya Siri
3.Manunuzi ya Umma.
Hivyo taifa letu la
Tanzania linaumia sana katika mambo haya makuu matatu ambayo ndiyo
yamekuwa chanzo cha matatizo mengi katika Jamii tunazoishi na Taifa
letu kiujumla.







0 comments:
Post a Comment