wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana...
Lakini
wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia na kukubali kushoot video na mimi na hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah!
siku zote huwa nakushkuru na kukuombea sana kwa mwenyezi mungu kwani
naamini wewe ni mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika
hapa..
Nenda Kamwambie







0 comments:
Post a Comment