Rais wa Masharobaro
Tanzania Bob Junior ambaye ametangaza rasmi kuachana na Mkewe
aliyedumu naye katika Ndoa ndani ya Miezi Sitta na kufanikiwa kupata
mtoto mmoja amekuja na Ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la
Bashasha ambamo ndani yake Vanessa Mdee amehusika kuleta Bashasha za
Kisharobaro.
Isikilize na kuweza ku
Download Ngoma hiyo hapa







0 comments:
Post a Comment