Msanii
Young Dar es salaam alimaarufu kama YOUNG D amefunguka leo kuwa
Wadada na Braza men wa Town ambao kwa sasa wamekuwa wakijihusisha na
utengenezaji wa Video za Ngono ,ambazo zimekuwa zikizagaa kama...!
njugu
mitaani kuwa wanafanya hivyo ili tu wapate pesa ya kwenda kununulia
Nguo za Kuvaa na waendane na mabadiliko ya Dunia.
Hayo
ameyasema Leo kupitia Mtandao wa Kijamii Twitter “Hata mcheza video
za uchi pia anatafuta hela akanunue nguo....lol”
Najaribu
kujiuliza kama hili alilolizungumza Young D linaweza kuwa na uhalisia
inamaana dhamani ya utu inaweza fananishwa kwa dhamani Mavazi au
muonekano? Jibu utakua nalo Msomaji .
Lakini
siku zote tutambue kufanya Video za Ngono ni kujiharibia sifa zako
katika Jamiii na kupoteza fursa nyingi ambazo zilipaswa kufunguka
kwako kwa dhamani yako.







0 comments:
Post a Comment