Baada
ya kupata taarifa juu ya Kifo cha msanii Mack Malick ambae alikuwa
msanii wa Bongo Fleva na mtayarishaji wa muziki wa Bongo katika
Studio mbalimbali Afande Sele amefunguka na kusema kuwa Kitambo si
kirefu watakuwa pamoja akimaanisha mbele yake nyuma yetu ni sisi.
“Kitambo
si kirefu tutakua pamoja, mbele yako nyuma yetu.
Mungu akulaze
pema, Amin'
Msanii Mack Malick
alimaarufu kama Mack 2 B amefariki asubuhi siku ya leo baada ya
kusumbuliwa na matatizo ya kuvimba miguu na matatizo ya figo
yaliyokuwa yakimsumbua.Marehemu Mack 2 B atazikwa siku ya kesho.







0 comments:
Post a Comment