Kamati
ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Imetangaza
matokeo ya Usaili ya waaombaji uteuzi wa Uchaguzi utakaofanyika
Oktoba 30,Kamati kuu ya Uchaguzi imewapitisha Wagombea wawili...!
Athumani Nyamlani na Jamal Malinzi kuwania nafasi ya Urais wa
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Pia
kamati kuu ya Uchaguzi wa TFF imempiga chini Shaffi Dauda aliekuwa
akiwania nafasi ya Ujumbe







0 comments:
Post a Comment